SERIKALI YATOA TAARIFA KUHUSU ONGEZEKO LA MAFUA NA KIKOHOZI NCHINI

“Hivi karibuni katika mitandao ya kijamii, kumekuwa na taarifa zenye kuonesha kuwa watu wengi wana dalili za kukohoa, mafua, maumivu ya mwili na kuchoka, Wizara imefuatilia na kubaini kweli kuna ongezeko la Wananchi kupata dalili za mafua” “Hata hivyo, hii huwa ni hali ya kawaida kila mwaka (seasonal influenza) ambayo huchangiwa na mabadiliko ya hali